Salama Rohoni Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Salama Rohoni - Martha Mwaipaja
...
Nionapo amani kama shwari
ama nionaapo shida
kwa mambo yote umenijulisha bwana
ni salama rohoni mwangu2
Salama rohoni mwangu
ni salama rohoni mwangu
Dhambi zangu zote wala si nusu
zimewekwa msalabani
wala sichukui laana yake
ni salama rohoni mwangu
RPT CHORUS
Ee bwana himiza siku ya kuja panda itakapolia
utakaposhuka sitaogopa
ni salama rohoni mwangu
RPT CHORUS