Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2009

Lyrics

Kwa msaada wa Mungu - Martha Mwaipaja

...

kwa msaada wa Mungu tunashinda ya Dunia

kwa msaada wa Mungu tunashinda ya Dunia

tunasonga mbele kwa sababu ya Mungu

hatukati tamaa kwa neema ya Mungu


tunasonga mbele kwa sababu ya Mungu

hatukati tamaa kwa neema ya Mungu


kwa msaada wa Mungu tunashinda ya Dunia

kwa msaada wa Mungu tunashinda ya Dunia

tunasonga mbele kwa sababu ya Mungu

hatukati tamaa kwa neema ya Mungu


tunasonga mbele kwa sababu ya Mungu

hatukati tamaa kwa neema ya Mungu


Nashukuru kwa sababu tunaye baba mwenye huruma, anayetuhurumia tupitapo kwenye matatizo

Nashukuru kwa sababu tunaye baba mwenye huruma aliyesema tusifadhaike mioyoni mwetu

asingekua pamoja nasi nani angekua nasi,

asingekua mwenye huruma leo tungekuaje

asingetuhurumia baba nani angetushindia

asingekua mpole baba tungeenda kwa nani,

tupo hivi tulivyo kwa sababu ya baba

tupo hivi tulivyo kwa sababu ya Mungu


kwa msaada wa Mungu tunashinda yote eeh


kwa msaada wa Mungu tunashinda ya Dunia

kwa msaada wa Mungu tunashinda ya Dunia

tunasonga mbele kwa sababu ya Mungu

hatukati tamaa kwa neema ya Mungu


tunasonga mbele kwa sababu ya Mungu

hatukati tamaa kwa neema ya Mungu


kwa msaada wa Mungu tunashinda ya Dunia

kwa msaada wa Mungu tunashinda ya Dunia

tunasonga mbele kwa sababu ya Mungu

hatukati tamaa kwa neema ya Mungu


tunasonga mbele kwa sababu ya Mungu

hatukati tamaa kwa neema ya Mungu

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status