Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

This song is not currently available in your region.

Try the alternative versions below.

Lyrics

Jina La Yesu - Ali Mukhwana

...

Haleluya

Hakuna Jina kama la Yesu

Jina la Yesu ni ngome imara

Wenye haki hulikimbilia

Wakawa salama

Hakuna Jina kama la Yesu

Chini ya jua

Hakuna Jina kama la Yesu

Duniani na mbinguni

Hakuna Jina kama la Yesu

Chini ya jua

Hakuna Jina kama la Yesu

Duniani na mbinguni

Hakuna Jina kama la Yesu

Chini ya jua

Hakuna Jina kama la Yesu

Duniani na mbinguni

Hakuna Jina kama la Yesu

Chini ya jua

Hakuna Jina kama la Yesu

Duniani na mbinguni

Hakuna Jina kama la Yesu

Chini ya jua

Hakuna Jina kama la Yesu

Duniani na mbinguni

Jina lako ni ngome imara, walipolitaja Jina lako mapepo yalitoweka

Jina la Yesu ndilo ngome yangu na tena ushindi wangu

Jina la Yesu ndilo mwamba wangu na tena ngao yangu

Jina la Yesu ndilo ngome yangu na tena ushindi wangu

Jina la Yesu ndilo mwamba wangu na tena wokovu wangu

Wanaokimbilia Jina hilo Wanapata wokovu

Wanaokimbilia Jina hilo Wanapata Amani moyoni

Hakuna Jina kama la Yesu

Chini ya jua

Hakuna Jina kama la Yesu

Duniani na mbinguni

Hakuna Jina kama la Yesu

Chini ya jua

Hakuna Jina kama la Yesu

Duniani na mbinguni

Wenye haki hulikimbilia kimbilia

Na wakaponywa

Wenye haki hulikimbilia kimbilia wakapona

Kiongozi wa Uzima wangu ni wewe

Taa ya miguu yangu ni wewe

Tumaini la moyo ni wewe

Jina la Yesu, walipokimbilia Jina hilo

Walipata Amani moyoni

Hakuna Jina jingine kama la Yesu Duniani

Hakuna Jina kama la Yesu

Chini ya jua

Hakuna Jina kama la Yesu

Duniani na mbinguni

Hakuna Jina kama la Yesu

Chini ya jua

Hakuna Jina kama la Yesu

Duniani na mbinguni

*******

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status