Pamoja Na Wewe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Pamoja Na Wewe - Ali Mukhwana
...
Sollo:pamoja na ww*2
katika safari yangu nitatembea na ww
All:(pamoja na ww*2
katika safari yangu nitatembea na ww)×2
Sollo:bwana u sehemu yangu rafiki yangu ww katika safari yangu ntatembea na ww×2
Back to chorus
Sollo:mahali apa sikutaka ili niheshimiwe na yanikute Mashaka sawasawa na ww×2
Back to chorus
niongoze safarini mbele unichukue mlangoni mwa mbinguni niingie na ww×2
Back to chorus
niongoze na ww sitaki mwingine anayejua maisha yangu anayefahamu uchungu wangu anayefahamu mateso yangu anayefahamu ninayopitia ww nww n ww bwana n ww Jehova nisi
back to chorus