Watakusema Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Watakusema - Ali Mukhwana
...
watakusema (aa) wanadamu watakusema (aa) , yesu akatenda miujiza akatembea juu ya maji na bado wakamsema aliponya batimayo akafufua lazaro na bado wakamsema
kama walimsaliti yesu Mimi ni nani bado watanisema Kama walimsaliti yesu wewe ni nani bado watakusema
bado watakusema (hao ni wanadamu) bado watakusema mazuri mabaya watakusema bado watakusema tenda mema uende zako bado watakusema
unakula nao unafanya kazi nao na bado wanakusema ukifanya hili ukifanya lile bado wanakusema sasa tenda mema uende zako tenda mema mola atakulipa atakulipa tenda mema ndugu tenda mema kaka mola atakulipa bado...
bado watakusema hao ni wanadamu bado watakusema mazuri mabaya watakusema bado watakusema tenda mema uende zako bado watakusema
tenda mema uende zako yupo ?? atakulipa atakulipa atakulipa
bado watakusema wewe bado watakusema endelea kubariki bado watakusema wewe bado watakusema
usifuate wanadamu bado watakusema wewe bado watakusema lakini endelea
bado watakusema wewe endelea bado watakusema .. watakusema watakusema