Ni Kwa Neema Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Ni Kwa Neema - Ali Mukhwana
...
Eh ndugu yangu, kuishi hapa duniani, sio kwa nguvu zako
Ni kwa neema eeeh (neeeeema)
ndiposa ninaishi (kuumba mbingu na nchi)
Ni kwa neema yako tu, si kwa nguvu zangu mi
Ndiposa ninaishi
ni kwa neema eeh (neeeema)
Ndiposa ninaishi, sio kwa nguvu zangu
Ni kwa neema yako tu, si kwa nguvu zangu mimi
Ni wewe ulinichagua, tena ukaniokoa
Baba ukaniweka duniani
Sio kwamba nimetenda mema au ninafaa sana
Bwana nimekuweka moyoni
Natamani nikufahamu vyema eeeeh (natamani)
Natamani rabii, nikujue nikufahamu vyema eeeh (nikujue)
Nikujue jinsi Ulivyo
ni kwa neema eeeh (neeeema)
Ndiposa ninaishi
Ni kwa neema yako (si kwa nguvu zangu) si kwa nguvu zangu mimi
Ni kwa neema eeeeh (neeeema)
Ndiposa ninaishi
ni kwa neema yako (neema), si kwa nguvu zangu mimi
Yesu peleleza moyo wangu Bwana iiii
Kama kuna njia yaletayo majuto
peleleza moyo wangu Bwana iiii
Bwana naomba nikupendeze
Peleleza moyo wangu Bwana hii
kama kuna njia yaletayo majuto
peleleza moyo wangu naomba
Baba naomba nikupendeze
maana ulinichagua, mimi kukutumikia
Nami najiachilia moyoni mwangu
Nikujue nikufahamu vyema
Nikujue Rabii
Bwana nikujue nikufahamu vyema
Nikujue jinsi Ulivyo
ni kwa neema eeeh (neeema)
Ndiposa ninaishi
Ni kwa neema yako, si kwa nguvu zangu mimi
Ni kwa neema eeeh (neema)
ndiposa ninaishi
ni kwa neema yako, si kwa nguvu zangu mimi
ni kwa neema eeeh (neeema)
ndiposa ninaishi
ni kwa neema yako, si kwa nguvu zangu mimi
ni kwa neema eeeeeeh (neema) ndiposa ninaishi
ni kwa neema yako, si kwa nguvu zangu mimi