Loading...

Download
  • Genre:Genge
  • Year of Release:2021

Lyrics

Ilifanywa Na Itafanywa - Kenrazy

...

Zagadem, inaitwa one take no back up nigga shit,

Gjyeah, skiza story mzee, Gjyeah,

Jose Kamaru aliamua ni Gathoni,

Les Kilimambogo, wakimtafuta ukambani,

Okatch Biggy akahanya Nyathi Nyakach,

Princess Jully hii pande ingine akitu warn dunia mbaya,

Sukuma Bin Ongaro eh,

Kila siku suuuuupu,

Dere kuanza kupeleka gari mbio,

Jimmy Gathu akamshow,

Take your time hakuna pupa,

Hardstone akidai mschana mwafrika,

Swahili nation hakuna matata atashika,

Erick wainaina akaimba mpaka kijaka,

Mission ya safari ni kutafuta Adhiambo, [ah!]

Wengine husema ilikuwa ndani ya basi,

Wengine wacrazy kwa shamba la miwa, [weee]

Wengine kwa matanga usiku,

Wengine kwa nyumba vacant hapa juu kwetu, eh!

Msupa kwa mwili ana ma-goose bumbs,

Bazenga ashasimama kaa bendera,

Inafanyikanga mahali popote,

The craziest place ushaai ifanya ni wapi?

Kwa kiti, [wueh!]

Kwa neighbor,

Chini ya mti, [ee!]

Kwa meza,

Msituni yani Kwa kichaka,

Mavajo mko tu sawa msianze kujichanganya, [ehee]

Kwa beachi, [wueh!]

Kwa chopa, [ee!]

Kwa lifti,

pitch ya soccer,

Jikoni ya kuni,

moshi blanda,

Bora iliwabamba,

hiyo ndio utamu wa maisha,

Gidi, Maji, Wiki Mosh, Atoti,  

Kshaka Nicki wakamshow mapenzi tele,

Nasinzia nikikuwaza [Nameless],

Wyre, Nazizi taka manzi wa Ntairobi,

Flex akamkuta ka amejibeba,

Nonini akamsuka wee kamu kwa keja,

Pilipili akataka kukamata dem,

Juacali akipanga nyundo itazama wapi,

Hatukutaka noma tukamuitisha ID,

Jimwat akaconfirm kweli huyu si under 18,

Bobby Mapesa akamuitisha kamoja tu,

KenRazy akamshika mati...*

Kwa daro, [eeh!],

ndani ya swimo, [gjyeah],

Kwa bafu, [ah!]

shower manenoz, [wee!]

Kwa choo za kanjo, [boom],

Mwingine roof top, [rhaa]

Dem mwingine mcrazy Kwa kitanda ya bwanake wheh

Msupa kwa mwili ana ma-goose bumbs,

Bazenga ashasimama kaa bendera,

Inafanyikanga mahali popote,

The craziest place ushaai ifanya ni wapi?

Kwa kiti, [wueh!]

Kwa neighbor,

Chini ya mti, [ee!]

Kwa meza,

Msituni yani Kwa kichaka,

Mavajo mko tu sawa msianze kujichanganya

Kwa beachi, [wueh!]

Kwa chopa, [ee!] Kwa lifti,

pitch ya soccer,

Ofisi ya boss wako magoti unampigisha,

Bora iliwabamba, hiyo ndio utamu wa maisha,

Punit Wakaamua si lazima tu do,

Avril Marya wakichokoza Kwa klabu,

Madtraxx akafika na Bodaboda,

Ikatubamba Mejja akauliza jana kuliendaaje,

Timmy akasema ilikuwa welewele,

Visita akafukuza mapepo,

Sosuun akaweka sura ya kazi,

Khali akatakupiga dem stick dem miti, [ahmm]

Ikalipuka Ethic wakalamba lolo,

Boondox gang wakawapeleka na rieng’, [ehe]

Zikatushika tu Kwa Kichwa na sufuri,

wamlambez – wamnyonyezz,

Kwa uber,

Kwa balcony,

Kwa gate yakina dem usiku, [fireeee]

Kwa gari ya lecturer,

Ochungulo,

Kama hakuna kaa na mama yako,

Msupa kwa mwili ana ma-goose bumbs,

Bazenga ashasimama kaa bendera,

Inafanyikanga mahali popote,

The craziest place ushaai ifanya ni wapi?

Kwa kiti, [wueh!]

Kwa neighbor,

Chini ya mti, [ee!]

Kwa meza,

Msituni yani Kwa kichaka,

Mavajo mko tu sawa msianze kujichanganya

Kwa beachi, [wueh!] Kwa chopa, [eh!] Kwa lifti, pitch ya soccer,

Nyuma ya mlango ya ofisi ya headmaster,

Bora iliwabamba,

hiyo ndio utamu wa maisha,

Gjyeah, Mi hata nashindwa watu wanashtuka nini manze,

Hii kitu ilifanywa na Itafanywa, hahaa, By the way hiyo ndio title ya ngoma,

It’s Messenjah on the beat, Na KenRazy, [ehe] karibu nisahau manze,

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status