Sai ft. Visita Lyrics
- Genre:Genge
- Year of Release:2021
Lyrics
Sai ft. Visita - Kenrazy
...
News from Mars, The two gentlemen cannot,
They cannot be reached,
They cannot be reached, I repeat,
The emphasize is to be heard ma nigga,
Ahmm! , Shida! Twende..
Si tuliwaambia tulikuwa tu hapa nyuma
tuna-load hizi bunduki and the tucome – Sai,
Rap si ni wachafu Embarambamba
saa marapper kutu-embarrass ni dangerous – Sai,
“Nini mbaya na mziki ya Kenya?”,
Ah! Nkt! Hiyo swali uliza morio huku-D* - Sai,
Kuna mtu haja-doze
anapanga vile atakuharibia hizo mipango zako – Sai,
Eh,..Msupa nipande mi – Sai,
Hii pandemic inakandamiza – Sai,
The boys are back, devo is a lie,
Better than ever huezi compare before na Sai,
Ngwai nishawai, so sai nadai wine,
Walai Gai haifai, Nai bila hawa guys,
Tuliwaachia mjengo wakaachia wageni wakang’ara,
Wacha tu-take over Sai…Oya!.. eh!
Tubomoke Sai – Sai, Kuporomoke Sai, Sai,
Iwake Sai – Sai, Sai, Sai, - Saaai,
Tubomoke Sai, Sai – Sai,
Kuporomoke Sai, Sai, Sai,
Iwake Sai, Sai – Sai
Sai, Sai, - Saaai,
Wasanii tumesota, mafans, nunueni ngoma zetu – Sai,
Kumebadilika, kila mtu anahitaji usaidizi – Sai,
Ah! Mashida ni ngapi, si washajua
shida ni Mbili kulia na ku-shshshshshsh,
Watoke ofisini wakwende na hizo
virago wa-fufufufufufu funge – Sai,
Shika upanue ndazi basi – Sai,
Niigize ndizi katikati – Sai,
Funika nimange chini ya maji,
Kupiga nyambizi bila panti – Sai,
Sasa nani tena anaeza tenda kosa kama hii?
“who let the dogs out?”
Wakibadilisha risasi kwenye bunduki,
We let the bombs out!..
Tubomoke Sai – Sai, Kuporomoke Sai, Sai,
Iwake Sai – Sai, Sai, Sai, - Saaai,
Tubomoke Sai, Sai – Sai,
Kuporomoke Sai, Sai, Sai,
Iwake Sai, Sai – Sai
Sai, Sai, - Saaai,
Ah! Swagga freshy ndio wajue naball, [aaaaah]
Nashika simu mabeshte nacall, [yeah]
Tumbo jaza Kanyama ka carnival, [oooooh]
Kabla alcohol, eeeeh Okaay!
Gimme the lighter let me smoke one,
Okaay! bet e tiedero.. Okaay!