Maisha Imebadilika Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Maisha imebadilika ni ngumu tu kukaa sober
Mambo imebadilika ni ngumu tu kukaa sober
Tajiri anatajirika masikini anasota
Mambo imebadilika ni ngumu tu kukaa
Hata usingizi nikitry kupata silali fofofo
Na hiyo kazi kila siku nasaka sipati ngongongo
Mshahara nikilipa shule na nyumba sibaki hata na doe
Wee achana na mimi ukiniona nikipiga tot
God made man
Man made money
Hapo ndio blanda ilianzanga zamani
Yes we are the same lakini hatutoshani
Shilingi inafanya ule ni mhesh na wee ni nani
Vitu zimepanda bei
Tukibonga hawaongei
So si poa mi ka kenrazy ninyamaze
Maboy hawana kitu ma-sponsor wanatake space
Maboy wanakuwa gay dunia ni ka ina-end
Madem hata ku-slay ni struggle everyday
Mandoa zina-break communication is dead
Eric ana-protest mnasema ana-clout chase
At the end of the day tunataka tu change damn Ah
Maisha imebadilika ni ngumu tu kukaa sober
Mambo imebadilika ni ngumu tu kukaa sober
Tajiri anatajirika masikini anasota
Mambo imebadilika ni ngumu tu kukaa
Hata usingizi nikitry kupata silali fofofo
Na hiyo kazi kila siku nasaka sipati ngongongo
Mshahara nikilipa shule na nyumba sibaki hata na doe
Wee achana na mimi ukiniona nikipiga tot
Dear mr. President
Wee ndio ukona say
Hakuna haja tuchome nchi iteketee
Naomba utusikie naomba utuangalie
Si ndio wale ma-hustler tusiangamie
Wamadhe wanacry
Ma-youth wana-die
Tuwache politics tuchange this walai
Wasee tu wana-survive tunakula tu kingwai
Makali ama wine zikishuka back to life
Hatutaki fish tu- fundishe kufish
Allocation za job na tax irudi chini
Wee ndio ule mdhee so najua unatufeel
Bottom up ikiweza tuta-live in peace yeah yeah