Kabisa ft. Swat Matire Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Shhh, Leo nawasha pia machopi,
Leo nawasha pia machopi, [ni KenRazy Twende]
Shhh, Leo nawasha pia machopi
Leo nawasha pia machopi
Leo si unajua kuna form, Kabisa
Hakuna kulala home, Kabisa
Deejay play that song, Kabisa
Kila mtu twende kwa floor, Eeeh Kabisa
Zisha zisha - Zishanishika
Zisha zisha - Zishanishika
Zisha zisha - Zishanishika
Zisha zisha - Zishanishika
[cough, cough] nimechokiwa na shisha
Taxin ni veve nashikisha
Zishanishika naskia nikona head rush
Zishanishika na bado nikona pesa
Ya kutesa niko on niko on niko kukesha
Hakuna compe, na mi si bombe
Chafua meza waiter si ulete pombe
Odinare mangoto meno ni mali
Nakunywa whiskey leo sikati barley
Chwadizi, najimurder na makali
Keg zii, leta makali na chaser
Niko ma-foreign leo napanda ndege
Pamba ni safi hakuna kurudi rima
Natoa uradi leo tukate maji
Pamba ni safi hakuna kurudi rima
Tukate waba leo tukate wabling
Leo si unajua kuna form, Kabisa
Hakuna kulala home, Kabisa
Deejay play that song, Kabisa
Kila mtu twende kwa floor, Eeeh Kabisa
Zisha zisha - Zishanishika
Zisha zisha - Zishanishika
Zisha zisha - Zishanishika
Zisha zisha - Zishanishika
Shh, shh, nani hapa akona ki-rizla
Taki ya shash ishanishika
Leta tot na mamzinga kwa wingi
Pesa ang'o bana leta mabinti
Nilitoa Tichi mkashika mati
Swat akafanya malolo zikalambwa
Dem ana mahaga anafaa bigi D
Sijui kaa niko poa ama jo zishanshika
Ni asubuhi na bado zimenishika
Staki tena pombe story kwisha
Kidogo tire Swat ashakiwakisha
Siamini kuna siku nilikuwa mtoto misa
Ni ka nimetekwa nika nika nimetepwa
Ni ka nimetekwa nika, utanikuta na
Room na madem wanne
Wote wamechora saba
Nawaita mamasita, eeh leo ni mkutano
Leo si unajua kuna form, Kabisa
Hakuna kulala home, Kabisa
Deejay play that song, Kabisa
Kila mtu twende kwa floor, Eeeh Kabisa
Zisha zisha - Zishanishika
Zisha zisha - Zishanishika
Zisha zisha - Zishanishika
Zisha zisha - Zishanishika
Shhh, Leo nawasha pia machopi
Leo nawasha pia machopi
Shhh, Leo nawasha pia machopi
Leo nawasha pia machopi