Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2015

Lyrics

Mbilikimo Mkora - Kenrazy

...

Mbilikimo mkora

Kambiliki mbilikimo mkora

Madem washasorora dalili ya bakora so wananiita mbilikimo mkora

(Kambiliki mbilikimo mkora)

Madem washasorora dalili ya bakora so wananiita mbilikimo mkora

Tuko stage tumesimama wengi kama four line

Kucheki naona siz ya ogola msupa mfupi anaitwa zippora

Nikaenda straight alafu nkam hola

Naitwa ken ka walibora

Nimekua tu apa nyuma nkikusorora

Unangoja matatu za dandora

(Apana nangoja beshte yangu anaitwa rora)

Kunicheki fiti we ni ken razy

Eeh ule wa kofia na kaptura

Twende hivi down ata mtaa ucheki

Aaah hiyo ata si swali ata

Mi nani nkatia fora

Jina kubwa ata amesahau stori ya rora

Akaona nkinunua cd apo kwa chemist

(Aki we ken razy ni mbilikimo mkora)

Interview naulizwa ka izo nyimbo mi huroga ni true story ni vitu mhuota

Mi nawashow hizo nyimbo mi hubonya si hua zawasaidia sana kubonga

Niliamua badala ya niwe jambazi mkora

Kupora watu usiku na machorani job na mamora

Hiyo ni kuroga kuandika hizi ngoma

Kadem kamekam kunilimo

Kale kale

Anakaa ka mimo

Anasema ametoka tabora

All the way mbaka hapa kuniona

Ok. Unapenda movie

(Kwanza za kiushtua nazipenda sana)

Nikaeka kamasuyra badala ya horror

Aki we ken razy ni mbilikimo mkora

Kila siku jioni kasupu na kamtura

Tunaongrza vitambi

Nafanyafanya ngoma nipate madola

Kama kawaida ya mbilikimo mkora

(Kasupu na sembe ni kushiba msee)

By Ezra Manson

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status