Naogopa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Naogopa - Rayvanny
...
mapenzi chenga
yakikupiga unasurrendor
wengi wakipendwa
wanasahau kuna kutendwa ×2
wapi mkandarasi wa moyo
ukuta wa mapenzi unabomoka
kinacho ponza wengi ni moyo
wakikalia kuti kavu wanadondoka×2
Unajiaifu umempata
kumbe aliyemwacha anamfata
anachotaka anakipata
wanasema hawara na talaka×2
Naogopa Naogopa
Naogopa