Siri ft. Nikki Wa Pili Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Siri - Rayvanny
...
Nimeanza safari ya penzi na wewe
usikatishe
Mungu mwema baba mbali atufikishe
mbali atufikishe
Mi binadami nakosea
Nikiteleza usihuzunike
Milele mwanadada nikifa unizike
Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu natamka
Niwewe
Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama
Mfariji pekee nikiwa na chozi langu
? na siri kifuani mwangu aaah
Nikupeleke nyumbani kwetu sheri eehh
Ukawajue na ndugu zangu mamaaah
Unipeleke nyumbani kwenu bibi weweee
Nikawaone shemeji zangu mama ooh
Siri ya nini siri
nini maana yake ooh
Siri ya nini
Nini hasara zake
Siri oooh siri
mapenzi ya siri
Oooh mama lolo
oooh mama lolo
Oooh mama lolo