Kwaru Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Kwaru - Zuchu
...
aaaaaaah rono ingekuwa na macho ingejionea moyo haufanyi kificho kigochea mimi kipindi nisichonacho ningeongea mwili wangu rojorojo nanyongonyea
Chungu nilichopika wamepakuwa wenzangu huruma napukutishwa wamechukua donge langu
na kitabu chetu cha mapenzi ukurasa umechanachana hazisomeki tena tenzi zimepoteza maana.
.........................
mpofu moyo wangu ulishindwa ona ukwabi kwawa kwangu linywe ni kama nalitema kwaru kwakwaru kwaru kachukua kisura anaukwarua kwaru kwakwaru kwaru moyo wangu unaumia kwaru kwakwaru kwaru eeh kwa nguvu anaukwarua kwaru kwakwaru kwaru jamani moyo wangu unaumia
........................
Eeh langu tatizo nachunda najimaliza mi nakesha kumuwaza naweweseka lake jina ooh jina oh basi kwa unyonge najikaza niache kulia maana kwake bahati sina ooooh sina
maumivuuu ameipora furaha yanguuuu amekwenda nayo na zangu mbivu zimeniozea ni hasara kwangu oooooh yatapita hayo
..................
mpofu moyo wangu ulishindwa ona ukwabi kwawa kwangu linywe ni kama nalitema kwaru kwakwaru kwaru kachukua kisura anaukwarua kwaru kwakwaru kwaru moyo wangu unaumia kwaru kwakwaru kwaru eeh kwa nguvu anaukwarua kwaru kwakwaru kwaru jamani moyo wangu unaumia
.................
waaasafi
....................