Ate Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Ate - Mbosso
...
Nataka longa nawewe,nikufunze mapenzi
Mwenzako nayajua
Nataka sema nawe,nikufunze penzi mimi
ninalijuaa
nipe nikubembeleze ka mtoto ngara kwa raha zako kujinenepee
Nikushike eeh pendo lisiteleze nikagharam gharamu
uhaba ya macho wasisongelee
Twende Zanzibari,Komoro,Mombasa,
tucheze zumari,ndombolo,chakacha
nikupe michezo hatari
uzidi takata
tuwe ng'ari ng'ari
Dangote Tanasha
aah aah aah
Kama kikogwa nitalala juma
Ate Ate Ate
Ni mboga mboga
sangara hudui
Ate Ate Ate
iyaala iyaa ate ate ate
iyaala iyaa ate ate ate
mmh mmh Mmmmh
Mi ni daktari dakitari wa mapenzi
Dozi yangu temethali
Inatibu na kuenzi mmh
Yangu tamu tamu bila kuchagia
chachu kwa kudambulia
swafi kwa kuitumia ni salama
kama bubble gum taitafunia
Dafu kwa kusukumia mmh
chakurumagia kinyama
penzi liogolee hii Bahari salama
kuselelea sele
Tuele,mioyo ziende mrama
kuselelea sele
tule tujisosomole,nyama nyama
za shawarma
kuselelea sele
ooh habibi selelea
Twende Zanzibari,komodo,Mombasa ....
Kama kigoo nitalala juma...
Wasafi
Nyama mwani kanyang'ania
anaitaka analilia anaitaka
ooh kashikilia
anaitaka
nimpe yote yote
Yani mzima mzima
anaitaka
ooh kulamba lamba anaitaka
chocolate ya maziwa anaitaka
Yote Yote