Yalah Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Yalah - Mbosso
...
nmesadikia wahenga penzi Lina Raha yake mzingo kwa Tenga mfacho mtu chake ndenge Meka kwa ngenga aaah umatemate najinyenganyenga maumau Tate huwaga sioni ninavyo ipanda milima ulimi sikioni mwili wote wanzizima mwenzenu sioni macho mawili yote Sina tunaanza jikoni mpaka varandani twalindima yalah yalah yalah yalah yalah yalah oooh yalah yalah yalah penzi limemzidia yalah ni kubwa yalah yalah nzito yalah yalah yalah .Tungezaliwa zamani ningesema penzi tokwe tulinywe kibarazani tukitafuna maboga nimekipanda uwali kibustani Cha uyoga tukishiba biriyani baby tule mboga mboga Sasa polisi wa Nini nikikosa nikamate weweeee mahakama ya Nini nikikosa ni hukumu wewe we penzi chupa la balini tuligide baby Hadi tulewe ee vindegesho wee vya Nini kifaranga unibebe wee mwewe huwaga sioni ninavyo ipanda milimaaa ulimi sikioni mwili wote wanzizima mwenu sioni macho mawili yote Sina tunaanza jikoni mpaka varandani twalindima yalah yalah yalah penzi lime mzidia yalah yalah ni kubwa yalah yalah yalah zito yalah yalah yalah by Miranda.