Maisha Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Maisha - Treyzah
...
Whow whoah, whow ahh..!
Nimekua mtu mwingine naonekana kivingine
Matatizio nimengi ey
yamekumbana na mengine ey
Moyo wangu badobado upo adoado
Sielwi nini bado ila Mungu yupo
Na maisha ni mapito nasie Sote twapitia ahh
Yana mwanzo mwisho usiangaike na dunia
Na kama yako ipo uhh, usikate tamaa ukajutia
Fungu lako lipo ipo siku iliowadia
Kikubwa ni kumuomba yee mwomba yee sana
Na mola ndio anafanya uwe uweze pambana
Nawaza kodi nawaza hodi siwezi afford
Nawaza mengi mengi tu
Bado mama na wadogo zangu nao
Nawaza sana juu hali yetu ijayo
Kipata ni kigumu oh na ndio mana
Nakunja tu magoti nasali maulana
Na maisha ni mapito sie Sote twapitia ahh
Yana mwanzo mwisho usiangaike na dunia
Na kama yako ipo uhh, usikate tamaa tamaa ah
Fungu lako lawadia
Ntasimama ntasimama one day(one day)