Approach Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Approach - Treyzah
...
mmmmh mmmh mmmmh At the first time nakuona kwa njia ukaniweza vile ka njiwa nikaomba your phone number we dada nakuuliza unaitwa nani? ukacheka kwa tabasamu masikini sikuzani mzuri sana nitaweka utulivu nakiri kwengine sitoweza kweli we dada hata maneno yakitapakaa kuwa wewe unatokaga misijari