Okay Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
Okay - Treyzah
...
Uliponishushaga ni mbali sana naona hata sifiki
mbaya zaidi nimekosa lift
sioni dalili hata traffic light
mi natembea tu uenda mbele nitapata rafiki
labda yeye ndo atakae nipa seat
acha mwendo niongeze ikibidi
Hii safari ya mapenzi
mbona kama imekuwa chungu naona aah
Ninaempanda asimami simuoni ameshakula kona
I'm okay
don't worry about me
najua kwamba umeteleza
si binadamu tunateleza
I'm okay
don't worry about me
najua kwamba umeteleza
si binadamu tunateleza
Everytime najiuliza vipi ntakabili
maana nimeishakuwa msafiri na ninapo kwenda ni mbali
imeishatosha kurudi nyuma mi sifikirii
mapenzi tena mi ya nini kusema kweli yamenichosha
Hii safari ya mapenzi
mbona kama imekuwa chungu naona aah
Ninaempanda asimami simuoni ameshakula kona
I'm okay
don't worry about me
najua kwamba umeteleza
si binadamu tunateleza
Thank you.