Kichaa Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Kichaa - Treyzah
...
kichaa :Treyzah
............................
maumivu nimesahau(nimesahau)
mikasa mapenzi mi iliyonisibu
huku nyuma walinidharau(walinidharau)
sasa nimempata wa kunitibu
daktari fundi wa mahaba
mapenzi mimi amenijazia jaba
upendo wake umenitosha sana
mana cheki tunavyopendana
chorus :simu haziishi kutwa nzima
ipo sikioni
hata nikiienda uani
hadi wanahisi hazisomi
na akiwepo ndani
ananiogesha kwa beseni
taratibu huku ananikakanda mabegani
nimekuwa kichaa wa mapenzi
(wa mapenzi)ײ nimekubaliiײ
kuwa kichaa (wa mapenzi)׳
nimekubali
hee panda kwa juu niko hapa kidedea
kama bendera fata upepo napepea
adoado kama upo hapo kwa bembea
nishakua kipofu na siogopi kupotea
kumenoga huku ndani njee sionekani
mapenzi yamenoga kama mtoto na soga
yey ndo suka usukeni keshafika mlimani
na mimi sina uoga naendelea kusuka
chorus:simu haiishi kutwa nzima
zipo sikioni
hata nikienda uani
hadi wanahisi hazisomi
na akiwepo ndani ananiogesha
taratibu huku ananikandakanda
mabegani
nimekuwa kichaa wa mapenzi
(wa mapenzi)ײ nimekubalii