Nimempata Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimempata - Treyzah
...
Acha niwaambieni jamaa nimempata mpya kijana hanilishi tembele ni nyama ninyama kwa nyama acha niwambieni jamaa uyu wa sasa amenichanganya akikosea nitabeba lawama lawama mmh
It'z okey it'z okey me kwake wala siendi mbali No kama moyo akiuvunja me mwenyewe ntauganga i don't care idon't care siwezi kwenda nae ata kwa shimo ukweli me nishampenda mbali naye sitoukwenda ouuh No pata nimempata x8 babe when you touch my body nakuaga mdougo kabisa kabisa wanipooza umo umo simama nami kilindoni kilindoni siitaji tufike mwishoni nikikosea i'm sorry wowh kwanini tuwe mafichoni mafichoni acha watuone wapinzani tusijiwekege kizani No No it'z okey it'z okey me kwake wala siendi mbali No kama moyo akiuvunja me mwenyewe ntauganga i don't care i don't care siwezi kwenda nae hata kwa shimo ukweli me nishampenda mbali naye sitoukwenda Ooh uuh No pata nimempata x8 nimempatia eeh patia ooh