Loading...

Download
  • Genre:Afropop
  • Year of Release:2014

This song is not currently available in your region.

Try the alternative versions below.

Lyrics

Ntampata Wapi - Diamond Platnumz

...


SEARCH TOOLS


Ntampata Wapi lyrics


Sura yake mtaratib,

Mwenye macho ya aibu,

Kumsahau najaribu Ila namkumbuka sanaa.

Umbo lake mahbibu,

Kwenye maradhi alionitibu ,

Siri yangu mkarimu

Bado namkumbuka sana

Alionifanya silali (eh), jua kali (eh)

Nitafute tukale ,Lakini hata hakujali, darling"

Akatekwa na wale Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)

Nitafute tukale Ila wala hakujali Darling, ah-aah

Ntampata wapi, kama yule? Niliompendaga sana

Ntampata wapi, kama yule? Nae anipende sana

Ntampata wapi, kama yule? Niliompendaga sana

Ntampata wapi, kama yule? Nae anipende sana


Aii-aii, nyota Nyota ndo tatizo langu Aii, nyota Mpaka nalia pekee yangu Aii, nyota Nyota ndio shida yangu Nyota Wamenizidi wenzangu Alidanganywa na wale (wale) Wenye pesa nyumba ghali (ghali) Mi kapuku hakunijali (jali) Akanimbia Alidanganywa na wale (wale) Wenye pesa nyumba ghali (ghali) Mi mnyonge hakunijali (jali) Akanikimbia Alionifanya silali (eh) jua kali (eh) Nitafute tukale Lakini hata hakujali, darling Akatekwa na wale (halo)

Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)

Nitafute tukale

Ila wala hakujali Darling, ah-aah


Ntampata wapi? (Oh wapi?) Kama yule Niliompendaga sana

Ntampata wapi kama yule (oh sana) Nae anipende sana

Ntampata wapi, kama yule? (penda sana) Niliompendaga sana (

?









     

 






Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status