Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

This song is not currently available in your region.

Lyrics

A Confession of a Mad Man - Dizasta Vina

...

Ah Nakumbuka aliniambia akiniona mimi anaona upendo

Anaona nchi ya ahadi anaona pepo

Anaona future ya maisha anaona lengo

Akiniangalia anaona kesho, n’kashangaa sana

She had her game tight

Kwani licha ya aibu, alionyesha feeling that she can’t fight

Alikuwa tayari hata kunipa game night

Akiuliza “don’t you believe love in a first sight?”

Nikamwambia “mbona una kasi ya jini?”

Akacheka, akasema “brother wasi wa nini?” Akideka

“We ni handsome, na pia ni mpole, mchizi ka’ wewe unahitaj manzi ka’ mimi” nikawaza…

Alikuwa ana ‘summer body times two’

Mi’ machoni nilimtamani ila ni nafsi tu

Ndo’ inagoma akanishika sikio akanong’ona kwa mahaba akisema “dude i love you”

And then she called me names, mara ‘Babes’

Mara ‘Boo boo’

Akipitisha nails kwenye chuchu ah!

Hata waungwana kwenye meza ya pembeni wakashangaa, wakauliza “damn bro una juju!?”

Akataka anibusu n’kakataa kimtindo akanuna

Akala mingo akanibusu kwenye shingo n’kaguna

Akauliza “we umeoa?” Nikasema “No”

“Kwanini hunipendi!!?” Nikasema “dada nakuonea huruma”

Akahamaki “huruma ya nini boy!? Una vibinti bar?

Achana navyo ili niku-treat kama minister

Hivi jinsi navyokupenda hauhisi raha? Kwanini usikubali tuwe wote what’s so difficult?”

“Unaonyesha walakini unan’shangaza

Au pengine una ukimwi unaogopa kuusambaza?”

Nikamwambia “sikia, najua kunielewa sio simple

Mi’ nachinja watu nauza moyo na figo”

Akacheka kwa mashauzi ya ‘kinafki’ ‘nafki’

Ilikuwa ni wazi ali-doubt doubt

Akasema “labda bro’ hauna kazi huh?

Hiyo mioyo na figo ukichinja unauza wapi?”

Nikamwambia “calls nyingi zinaingia

Kila pande za nchi hizi pieces wanazivia

Mtandao unakua kila pande za jiji napopitia

Na-expand treats mpaka India”

Akacheka sana, mpaka akaniegemea

Wakati peke yangu kichwani najisemea

“….dada angejua kitachokwenda kumtokea

Angebeba pochi yake angetembea, angekwenda mbali”

Nikamwambia “nenda nyumbani usigeuke nyuma

Kalale kesho nenda ibadani katoe ushuhuda

Nakupa nafasi ya kuishi ipokee uujuze umma

Kaandike kumbukumbu kuwa umenusurika kufa”

Akasema “sio mbaya nzi kufia kwenye kidonda

Usiniache mimi maana nahofia kukonda

Nakupenda sana please niweke moyoni hapo

Ukiwa muuaji n’tafurahi kufa mikononi mwako”

Hakutaka kusikia mambo mengi

Kama bidhaa ameshailipia na sasa anasubiria “change”

Kwa lugha ya nje ya dunia macho sexy

Akanikaribia kisha akani-kiss passionately, ah!

“Do you have a car or some’ brother?”

Translation akiuliza ka’ n’na gari labda

Nilipomwambia mi’ muuaji aligoma

Akaniambia twende home kisha akanidandia kifuani ghafla

Ile nafsi bado inanikemea

Najikuta peke yangu kichwani najisemea

“Binti angejua kitachokwenda kumtokea

Angebeba pochi yake angetembea angekwenda mbali”

Kivivu tukazama kwenye Harrier

Safari kwenda home bila barrier

Baada ya nusu nikampa mvinyo wa baridi wa kiitalia

Na ndani yake nikaweka Valium

Akapiga fundo kisha akaweka glasi mezani

Akatabasamu akasogea hadi jirani

Akaweka mkono wake begani

Kisha kiudadisi akaniuliza honey hujaniambia

Unafanya kazi gani

Nikamuonyesha picha za mademu kama mia

Niliowachora akasema “baby we’ ni genius”

Nikamwambia “niliowachora nishawachinja you’re the next one” akasema “baby haupo serious”

Aliniimbia wimbo maneno yakikata kinywani

Ishara ya kwamba kimtindo dawa imeshapanda kichwani

Nikambeba kisha nikampeleka mpaka chumbani

Hakukuwa na kitanda zaidi ya meza nikamlaza mezani

Nikamchora, nikimtizama mwili wake wa mvuto

Huki nikiwaza “unapopenda ukubali majuto”

Nikampiga busu zito kwenye paji la uso

Kisha nikatoa visu vikali na nyundo

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status