Wapo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Wapo - Harmonize
...
beat boy
eeh
mmmh
mmh
ivi wanini nijitutumue
na Dunia sio makaazi
vijineno neno vinisumbue adi nishindwe kufanya kazi
mama alisema mkuki kwa nguruwe kuishi na watu kaazi
achambe atukane ata aniuwe nshasame
mzazi ni mzazi
mwenzenu naficha naficha mengi ninayoyaona
kifupi nafunika kombe
nikiamini kesho nayo siku
mapicha picha mapicha
sidhani kama ntapona
wanangu wamtaani mniombe
hi vita ni mchaana na usiku
ooh kuna watu uh na viatu
wantamani milele wawe wao
ukijituma watasema unashinda nao
ooh ni kama watu
kumbe ndani wanaroho za chatu
hawatosheki na vikubwa vyao
wanatamani ata kidogo chako
kiwe Chao
Mola nipe ujasiri kwenye kifanya maamuzi
zidi nikomaza akili
Isinipoteze miruzi
uniamshe alfajiri kama jana na juzi
kupata kukosa ni Siri
na we ndo Mungu Baba muamizi dear Lord
wapo(ie ie wapo)
japo ni ngumu kuwaona(wapo)
wapo wasotaka ufanikiwe
ye (wapo) binadamu jawana wema(wapo)
kila utachofanya watasema(wapo)
waaaapo (wapo)wasotaka ubarikiwe
dear Lord
mmmh mmmh mh
Watakuita mwanga kibonge tena kwa dharau wakucheke
wanachotaka we uonge waseme shukrani ya punda mateke
kama vipi demu wake tumgonge
ndo wanaempiga chura teke
usipoonewa donge
basi ndo ujue hauna make
skia konde
we pambana mjini shule
ukipata kidogo leta na wanao tule
achana nao wanaosemaga umezoea vya bure
siku zote nyani halioni kundule
kama baba na mama ndo nguzo ya dunia
wapende wote sio wakike anacheka
wakiume analia Lia bila msaada wowote
ooooh kuna watu uh
na viatu
wanatamani milele wawe wao ukijituma watasema unashinda na nao
ooh ni kama watu kumbe ndani wana roho za chatu
hawatosheki na vikubwa vyao
wanatamani ata kidogo chako kiwe chap
mola nipe ujasiri kwenye kufanya maamuzi
zidi nikomaza akili isinipoteze miruzi
uniamshe alfajiri kama jana na juzi
kupata kukosa ni Siri na we ndo
Mungu Baba muamuzi dear Lord