Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2020

Lyrics

Muimbieni Bwana - Christina Shusho

...

lyric sync by Phellow 254790511905

Mwimbieni Bwana wimbo mpya

maana ametenda mambo ya ajabu

Mwimbieni Bwana wimbo mpya

maana ametenda mambo ya ajabu

(watu wote mwimbieni)

Mwimbieni Bwana wimbo mpya (yeye)

maana ametenda mambo ya ajabu

enyi mataifa msifuni Bwana

enyi watu wote mhimidi Bwana

Mwimbieni Bwana wimbo mpya

Mwimbieni Bwana nchi yote Mwimbieni

Mwimbieni Bwana wimbo mpya (yeye)

maana ametenda mambo ya ajabu

watu wote Mwimbieni

Mwimbieni Bwana (watakatifu mwimbieni) wimbo mpya

(mwimbieni Bwana wenu)

maana ametenda mambo ya ajabu

******instruments ******

mshukuru Bwana kwa kuwa ni Mwema

maana fadhili zake za milele

Mwimbieni Bwana kwa vinubi

Mwimbieni Bwana kwa vinanda Mwimbieni

Mwimbieni Bwana wimbo mpya (Mwimbieni)

maana ametenda mambo ya ajabu

watu wote Mwimbieni

Mwimbieni Bwana (watakatifu Mwimbieni) wimbo mpya

(yeye)

maana ametenda mambo ya ajabu

**********

kama maserafi kama makerubi

Mwimbieni Bwana wimbo mpya

Mwimbieni Bwana kwa vinubi

Mwimbieni Bwana nchi yote mwimbieni

Mwimbieni Bwana wimbo mpya (Mwimbieni)

maana ametenda mambo ya ajabu

wateule Mwimbieni

Mwimbieni Bwana (watakatifu mwimbieni) wimbo mpya

(yeye)

maana ametenda mambo ya ajabu

mshukuru Mungu katika patakatifu pake

msifuni katika anga la uweza wake

msifuni kwa matendo yake makuu

msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake

msifuni kwa mvumo wa baragumu

msifuni kwa vinanda na vinubi

msifuni kwa matari na kucheza

msifuni kwa zeze na filimbi

msifuni kwa matoazi yavumayo sana

kila mwenye pumzi na amsifu Bwana

haleluya

eeeh Mwimbieni

Mwimbieni Bwana wimbo mpya

(Mwimbieni Bwana wenu)

maana ametenda mambo ya ajabu

wateule Mwimbieni

Mwimbieni Bwana

(watakatifu mwimbieni)

wimbo mpya (yeye)

maana ametenda mambo ya ajabu

watu wote mwimbieni

Mwimbieni Bwana (watu wote mwimbieni)

wimbo mpya

mwimbieni Bwana wenu

maana ametenda mambo ya ajabu

Mwimbieni Mwimbieni

Mwimbieni Bwana

Mwimbieni Bwana wenu

wimbo mpya (yeye)

maana ametenda mambo ya ajabu

Mwimbieni Bwana wimbo mpya

maana ametenda mambo ya ajabu

Mwimbieni Bwana wimbo mpya

maana ametenda mambo ya ajabu

lyric sync by Phellow 254790511905

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status