Ile Saa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Ile Saa - Weusi
...
S2KIZZY BABY!!
Yeah naleta ujuzi kazini na staki kazi
zidisha ujuzi kazini ufukuzwe kazi
bos hatak uwe boss
boss uyooo mdosi ataki uwe mdosi
mdosi uyooo
zam nalala na simama dede
zam napanga mungu alipangadede
zam nalala na simama dedeee
zam nalala mungu alipanga dede
si tulipeleka rap club baana
si tulifanya mkasema wanabana areeè
si tulifanya wakaacha kubana
Asee hapa utapata rap za kufanana
na si atuachi si kufa kufaana
chuga ni mbegu kali tunazaana
kama nizashingo ukileta sizo si ni matatizo
yeah
I dont see no no no silali bwana
hakuna namna nisikutusue bana
ile saa ya kufanya ya maana fanya ya maana
uwa maupinzani zima maushindani zima
zima roho flani zima uwa mashetani
si ndo wakanda forever
wanatuhanya wherever
ile saa ulisanda lina kuita jeneza nauliza msingi ulimeza ulisahau kuvaa unateleza
Naleta ujuzi kazini na staki kazi
zidisha ujuzi kazini ufkuzwe kazi
boss hataki uwe boss boss huyoo
mdosi ataki uwe mdosi mdosi uyoo
Zam nalala nasimama dedee
zam napanga mungu alipanga
zam nalala nasimama dedeeeee
zam napanga mungu alipangaaaaa
Ukileta umimi na mimi naleta umimimiiii
ukileta usiku naleta mwezi mzima miiiiii
zam nimelala nasimama dede
zam nimeshakufa nasukuma chepe
watoto wa kulea waambie teteee
watoto wakitaka acha walete
msiposhika hela hamwezi shika adabu
mziki wa vijana watu wanakesha kwa babu
maswali ya mungu shetani siyo jawabu
mungu akikupa shetani hakosi sababu
Naleta ujuzi kazini na staki kazi
zidisha ujuzi kazini ufukuzwe kazi
boss hataki uwe boss boss uyoooooo mdosi ataki uwe mdosi mdosi uyooooo
zam nalala nasimama dede
zam napanga mungu alipanga
zam nalala nasimama dedeeee
zam napanga mungu alipangaaaa
Ile saa ubaya uko mbele wema uko
nyuma
ile saa wanga wanazima mungu anawasha ile taa
boss fisadi anatumbuliwa ule usaha ndo nyumba aliahidi utanunuliwa
yani saa kupanda kama huna marafiki wakushuka
ni ngumu kuficha kama ulichojamba kinanuka
ety weusi vipi nyinyi izi ngumu mnauzaa
sita huwa tisa chini juu ukigeuza
mke huwa malaya kama mume anampuuza
saa unampa vidonda wengine wanampuliza
ile saaaaaa ile saaaaaaaaa
BY MUNISI JR