Mbupu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Mbupu - Weusi
...
Let me vibe with yah A city in Da house(Weusii)
Eeh Ogopa techolojia uwezi Kata Mkanda
kanda zote zina tupenda toka enzi za kanda
Na bado tu mtasema tunaleta ukanda
I have been there done that
Hakuna blander
kama unaujua uchawai basi wendo mganga
Eeh Rasta Mweusi am in de area
Salad for days ama Vegiterian
kirusi cha upendo wananita carrier
My shit is classic ni level za Nelia(mtukuzii)
Nawachia mlinde game kaeni Sungusungu
Mikataba bila ma lawyer ni kizunguzungu
mtakula donge nono la vidonge vichungu
Mayai mawili yalitoka wanasema ni mbupu
sijaanza kuwa kimbiza wanatoka mkuku
kipande hiki hawakai mapanya wa Buku(raat)
Ikisambaa utasikia umechanjia Mukuu(weewe)
Huwezi tabili sijagi formal
kila subira zina Kikomo
Mi na subira Sina kikomo
Ukichunga tabia chunga mdomo
Tafuta kitabu John kisomo
Hatuwapi sale hakuna mshono(Noo no)
Papa Don mwamba called me Madelin
floo zinafungua Milango Lamborghini
papa mla dagaa ni sifa za majini
Papa nyanyua vijana ndo mambo ya mjini
Joh ni pamba kali bana sikai kabatini
Yea nazikeketa hizi shida kama wakulya
Maisha ya mchuzi uishia kwenye Sufuria
Mbinu bora ya ulinzi nikushambulia
Na maspika ka bunge siwez tulia
Bei ya mkaa haiwez fanana na Gesi
Kama unamajibu uwezi faulu ku guess
Kesi ya madokta siwa husishi ma nesi
hakuna mwenye kinga yaku kinga bless
Nanipo juu ingawa ninakanyaga ardhini
Sina uswahili ingawa nipo Uswahilini
Najilipa kila mwezi sio kima cha chini
Za mwizi arobani zangu mi ni thelathini
Ukimaliza kulia endelea na vita
shetani akikupitia unamwambia pita
Tuna kunja mahela hatukunji ndita
Simu tukizima watazimia Sinyolita
Ma floo ni juju power the black Jack bawa
Adam mtosha hawa humu amkai chawa
Moja huwez gawa ndio maana wanajigwa
Mmoja akiipata wengine wanapagawa
Hiki chama kigumu kushika hiyo pawa
Sifanyi kama kawa tulia lamba dawa
Worse comes to worse my people come first
Kama nikikosa kwa Mungu nita confess
weusi all Stars haikwepek converse
ukiridhika na Maindi hupagawi na conflex
Mfokoni tee twenty tee we ni mtete
Unahicho kijugu kinega ama mtefe
bado maduu nawavuta km mpepe
Na bado Doh na km ni mtele
hamanaga mchugalee weeh
hizi huwaga hazivumi weeh
Hili jiwe fatuma weeh
Nakishindo ni boomerang (alibomayee)
Utaka kuza uza au unatafuta maisha
Siwez kuficha ficha na ndo mke wa maisha
Hip Hop wanamshika shika hawez mfikisha
Namimi nahakikisha cause Pete nime mvisha
Yan tundu limebana na mi ndo nafikicha
Yaan chachaacha
elekeza shot kwangu yaan pyopyopyo
Ruhusu nitoe mbwa wangu wooh wooh
Utamu umebakia kweusi wanatema machicha
Ma shit is Ugly wauza sura wanaficha
hi ndo Ile tuition ya kufundisha Maticha
watoto hawawez chamba
Hiyo inakupa ishara gani
Huwezi kunya ukiwa umelala
utajinyea kitandani
na wazazi hatupendi hiyo vitafata viboko yaan (fimbo)
Utasikia vijana wamerudi chimbo
si toka mbiguni tukingia mshindo(Melelani)
Wafanya mpango ukamate bingo
uone kam utasema kuna binti malingo
Mki criticize mnafiki saizi
hamafiki saizi amki analayse
Mnasalelizi Mki televise
Tuna realise kweli viazi
Wakati wakina chakubanga wakibangaiza
Maswala ni real-estate na mabangaiza
safari haisimami mjomba kwa nguvu za giza
Nibaraka za mwenyezi Mungu amegonga viza
Nahawez pongeza Ukipata Vema
So dawa yao nikuruidia tena
Nawarudisha shule mi mpata vema
Unajua kilicho mpata mkataa pema