Pasi Kona Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Pasi Kona - Haitham
...
hivi wewe mwafurani eee
kisirani unamuekea Nani...
kutwa kucha dera mkononiiii eeeh
ndara kwapanii
nywele timu kichwani..
vikao kutwa saloon(saloon×2
maneno mengi mdomoni(mdomonii×2
manywele tele kwapaniii(kwapanii×2
hivi hii haibu gani(gani×2
leleleleleleeeeeeeh(pasi kona eeeeh×4
nakupa maneno kuntu nyonyo
usithubutu mji wa wawatu
nakupa maneno kuntu nyonyo
usithubutu tuliza kiatu
ujaitwa ushafika
ujashikwa unashtuka jinsi ganiiiiih
wapapalika×2
leleleleleleeeeeeh(pasi kona eeeh×4
Mimi chupa weee kisoda uwezi kunisumbua
mashoga ni kigoda juu ntakukalia
me mkologo na poda ukitaka kujichubua
akili yangu ni zoba juu ntakuitibua
leleleleleeleeh(pasi kona eeeh×4