Hongera Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Hongera - Rich Mavoko
...
Yeah yeah baby baby
Oh yeah
Niliambiwa mapenzi upofu
Katu nkatu nikawataliya
Kwako sikuwa na hofu kabisa nikaweka macho ya bandia
Kumbe na nachunga nzinga wa nyuki bilakuhufia kumia
Hadi kwa rafiki nikajenga chuki ili kifuwa kuku kingiya
Ukanipa tunda gizani bilakujuwa lina miba
Kukusahau tena sizani
Nikaweka matanga bila msibaah
Nilijitahidi kuyaficha mengi wasione
Macho shaidi Kinacho nifanya nisonone
Ulipo niraahinimwanya kumbe ni pengo nauna juwa
Ikanifanya nikupende sana
Mwisho nikichoka sumbuwa
“Chorus”2x
Kwayote ulio nitenda
Hongera
Uliniumiza miye kwa vingi ulivo vifanya
Hongera
Acha ukweli nikuambiye
“Instrument”
2 verse
Ulivo fisha kauli yangu kwakutumiya dinizako
Ikanilazimu nafsi yangu kuchukiya uwepo wako
Nyingi ahadi zilieka kutu zakusubiri ubalikee
kumbe cha mtu uliwa na mtu ikanifanya
nifazaike
Ulikata kwa nyembe nyuzi nyembamba ya furaha yangu
Ukanifanya nisipende uliuzalili na utu wangu
Nilijitahidi kuyaficha mengi wasione
Macho shaidi Kinacho nifanya nisonone
Ulipo niraahinimwanya kumbe ni pengo nauna juwa
Ikanifanya nikupende sana
Mwisho nikichoka sumbuwa
“Chorus”2x
Kwayote ulio nitenda
Hongera
Uliniumiza miye kwa vingi ulivo vifanya
Hongera
Acha ukweli nikuambiye
“Instrument”