Shusha Nyavu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Shusha Nyavu - Christina Shusho
...
alipokwisha kunena alimwambia simoni
tweka mpaka kilindini mkashushe nyavu zenu×2
bwana mkubwa tumefanya kazi ya kuchosha
usiku kucha
bwana mkubwa tumefanya kazi ata tusipate kitu ×2
najua nikiwa nawe bwana ntasimama tena
ata nkilemewa wewe utanishika tena
ata shida inijie wewe utanipigania
watesi wajipange bwana utapigana nao
nmetoa mwenzenu nmetoa
nmetoa na mafuta nkapewa
nkapanda na mbegu nkapanda
nkapanda ila mvua haikunyesha
bwana mkubwa.....