Hands Up ft Maua Sama Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Hands Up ft Maua Sama - Darassa
...
Najua kuna watu inawatoa kwenye mood
Kuona nafanya vitu and they told me that I could
They say that I lost my way nimeshabugi
Na nimefika sehemu ingekuaje ningerudi
Cheki news ukienda mtaani watu commenti
Darasa mtu mbaya kanyaga anaacha damage
Watu wanahitaji muziki una energy
Kinywaji cha kuburudisha na unapata knowledge
Muziki unavisa kama ndoa ya mgumba
Kama unamoyo mdogo unaweza ukakuvunja vunja
Kula yangu usiku mchana mungu ananichunga
Hata isingekua hii fan bado ungesakata rhumba
Street hubishi, kwani vipi huntishi
Pu push mpaka maandashi mwisho wa movie mazishi
Get rich or die trying what you wanna make a wish
Mchawi anachezesha dishi bado vita na wanafiki
Tafta chaji kwenye moyo kupata ganzi
Kuishi na binadamu tu yenyewe ni kazi
Sijui ingekuaje kama nisingecheza smart
This mother fcker life I have been through so much yoh
Walisema am just wasting my time
Wakasema am gonna loose my mind
Hawakujua nakokwenda kufanya nachopenda
I don't stop till I die
And if you feel what I feel put your hands up
Uko juu uliekuwa chini put your hands up
Kama unajua unakokwenda unafanya unachopenda
Don't stop eh eh eh
If you feel what I feel put your hands up
Uko juu uliekuwa chini put your hands up
Kama unajua unakokwenda unafanya unachopenda
Don't stop eh eh eh
Mama anipenda mama ananicare
Alianza kunibeba akanifunza kutembea
Unajua napotokea
Hujui potea hekaheka kila siku mtu ampigie
Hivi nowdays ni macho yangu au am confused
Nkisema uwashe TV nione kitu naona makuzi
Kwenye radio hakuna nyimbo watu wanapiga miluzi
Hakuna habari no news
Wengine wanabweka bweka kumbe mikwa ana mbuzi
It's enough kaa kwenye laini yako bwana tafadhali
Hebu hebu huku usije wengu wengu ukaniektia uvengu vengu
Na wenzako mnaotaniana mkaleteane ukingwendu
Nini nini mara eeh eeh nini hembu
Mpelekee mashuzi mtu aliekulisha dengu
Chimbu chimbu na madini chimubua
Mi mwenye kipindupindu ukipinda napindua napindua napindua
Walisema am just wasting my time
Wakasema am gonna loose my mind
Hawakujua nakokwenda kufanya nachopenda
I don't stop till I die
And if you feel what I feel put your hands up
Uko juu uliekuwa chini put your hands up
Kama unajua unakokwenda unafanya unachopenda
Don't stop eh eh eh
If you feel what I feel put your hands up
Uko juu uliekuwa chini put your hands up
Kama unajua unakokwenda unafanya unachopenda
Don't stop eh eh eh
Lyrics by Muxane classic