Nana ft G Boy Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Nana ft G Boy - Darassa
...
Nana nana nanananana
Nana nana nanananana
Ukikata mti tunapanda miti
Sina size ya kuvaa sipimiki
Nkiwasha mziki wangu mtiti
Fiti kali kiti beat mikikimikiki
Hii tabia, tabia tunakomesha
Maisha ya kuchukia watu unajitesa
Mwanamke hapendi stress, mpe presha
Anataka mwanaume kusaka pesa
Kizuri kinajiuzaga promotion
Nadhani hawajakujuaga, waonyeshe
Doado mwendo wa ngamia, slow motion
Shughuli inasimamia kwenye my tension
Waliosema hatufiki wanajiuliza vipi
Macho kodoa kodoa
Sijawekewa ngazi, sijabebwa kwa lifti nimetoboa toboa
Waliosema hatufiki wanajiuliza vipi
Macho kodoa kodoa
Sijawekewa ngazi, sijabebwa kwa lifti nimetoboa toboa
Kama kusibiri tumesubiria sana
Imeshakuwa long time eeh
Na uvumilivu tumevumilia sana
Imeshakuwa long time eeh
Kama kusibiri tumesubiria sana
Imeshakuwa long time eeh
Na uvumilivu tumevumilia sana
Imeshakuwa long time eeh
Nana nana nanananana
Nana nana nanananana
Na baby girl you go kill some body
Juu chini move shake for your daddie
Fanya kama vile unatafuta mtaji
Uzuri wa nyumba choo ndio inavutia wapangaji
Mwanaume wa kazi nishashiba ugali
Mwanaume mzazi na kisu kikali
Chinja chinja shusha mizigo kama bandari
Winja winja kimbiza mtu kwa daktari
Usinipe kitanda sitaki huwaga silalai
Nionyeshe kiwanja wapi nataka kuparty
Mtu hatari, mtu hodari mtu ngangari
Mtu hee kanyaga uone msumari
Dede Dede simama tembea
Tete tete mtoto kaongea
Bebe bebe ukitaka tembea
Naifunga kazi nimeisomea
Mwagika mwagika mwagika mwaa
Katika katika katika kaa
Aiyayayayayaya
Waliosema hatufiki wanajiuliza vipi
Macho kodoa kodoa
Sijawekewa ngazi, sijabebwa kwa lifti nimetoboa toboa
Waliosema hatufiki wanajiuliza vipi
Macho kodoa kodoa
Sijawekewa ngazi, sijabebwa kwa lifti nimetoboa toboa
Kama kusibiri tumesubiria sana
Imeshakuwa long time eeh
Na uvumilivu tumevumilia sana
Imeshakuwa long time eeh
Kama kusibiri tumesubiria sana
Imeshakuwa long time eeh
Na uvumilivu tumevumilia sana
Imeshakuwa long time eeh
Nana nana nanananana
Nana nana nanananana
Nana nana nanananana
Nana nana nanananana