Nye ft. Mejja Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nye ft. Mejja - Willy Paul
...
Nye by Willy paul and Mejja
Verse one
Alisema kwake nikama kwangu aty pozze feel at home
akasema bila mi awezi kufunction nikama mdomo bila mate
pia mimi alinisho hana mambo mob akajifanya holy joh!
niko na message kwa phone kumbe alichapwa na kevo na brayo
Chorus
Ebu punguza ma nye nye nye ...(ata mamangu hakudai)
Verse 2
Huyu manzi ananibamba lakini ubaya anapenda kugawa
naskia anadai wazee walisema miti ni dawa
na mi alinishow mapenzi yake kwangu ni power
yake ni pata potea kata ka stima kenya power
yeh hupost ndethe IG alafu anaandika caption moja bigi
wacha chocha toto anapenda manyundo
nilidhani katoto toto kumbe na deal nakapoko
Chorus
Ebu punguza ma nye nye nye...( ata mamangu akutaki)
Verse three
Katoto kanapenda ngwati ngwati ngwati ngwati ....
kukupiga busu ni kama kukiss esto izi lips ntaziosha na dettol
nlidhani you are humble and loyal kumbe kazi yako ni kugurumisha freno
nilidhani mi ukulima tu fiti kumbe kuna mwingine ukupiga miti
we ni ukamati unalimwa na kamati
Chorus
Ebu punguza ma nye nye nye .....( ata mamangu hakutaki)
punguza manyege
The End