Tupewe Pombe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Tupewe Pombe - Willy Paul
...
Leo si ni Friday*2
Leo si ni Friday tupige Sheree*3
mtoto pewa pombe,kunywa pombe, lewalewa kunywa pombe,inama chini kunywa pombe,shika rungu kunywa pombe
watu wa gilbis,tupewepombe,watu wa chang'a,tupewe pombe,watu wa konyagi tupewe pombe,watu wa guarana,tupewe pombe,panty removers eeeh watu wa Hennessy aaah
hmm asanty waiter asanty thank you so much unaeza iishia
kwa mabega,kwa matako kwa katumbo chapa chupa
kwa mabega,kwa matako,kwa katumbo chapa chupa
Leo si ni Friday...leo si ni Friday ...Friday tupige Sheree
Leo si ni Friday tupige Sheree
mtoto pewa pombe kunywa pombe lewalewa kunywa pombe inama chini kunywa pombe
kila mtu apige story yake ya pombe alaah
Mimi nikilewa najiona Niko London aki walai si napenda pombe
Mimi nikilewa Niko Dunia yangu naoma Raila ni baba yangu
sister na wee...pombe ni bae
sister na wee pombe Ni bae..hata zikishiki sikui mloose
mmmh Asante,waiter asanty thank you so much unaeza ishia