Nimelewa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nimelewa - Willy Paul
...
si Leo ni sikukuu, tufanye vitu kuu
ooh boo, (Sam beat)
si Leo ni sikukuu, tufanye vitu kuu,
(pozze) ooh boo,(eh! saldido)
Naita kina Jaguar, naita kina Joho na Sonko, walete madoh!
Baby mi nimelewa, kwa mapenzi yako mi nimelewa, mmh X2
(Ooh Baby,)
Ukiniguza kwa mwili ,na vibrate,mnh!
Umenichanganya changanya,
Akili imesaturate, sikuwai jua,
kuna mapenzi ya kweli mama,
until nikakupata, Oh! I thank the Father
Baby mi nimelewa, kwa mapenzi yako mi nimelewa,mnh X2
ooh ei!
ukismile baby girl ako ka dimple,
unafanya mi nafall tu vi deep so,
mapenzi yako tamu, yani sweet oh!
unafanya mi na fall tu vi simple,
Baby niko gauge ,niko maji ,
ndani ya mapenzi,
baby niko gauge, niko maji,
sitaki story ya mambogi!
Baby mi nimelewa, kwa mapenzi yako mi nimelewa, mmmh X2
Physically,(ooh) wacha nikupende mnyama mkali,
Baby my jigi (jigi my jigi)
Nyumbani kwetu tu ni quickie(kuchi kuchi)
Hey girl, I cannot get enough of you, oh!
na ata nikidunda, am falling for you oooh!
Baby mi nimelewa, (nimelewa oh!)kwa mapenzi yako mi nimelewa,(nimelewa ooh) X2
nimelewa, bila wewe siwezi
nimelewa, ooh sherry!
nimelewa, bila wewe siwezi
nimelewa, ooh mpenzi
nimelewa, bila wewe siwezi
nimelewa, ooh sherry!
nimelewa, bila wewe siwezi,
nimelewa,iiii ooh
nimelewa, ooii my ah!
nimelewa, oi iiii my ah!
nimelewa,ooii my ah!
nimelewa, oi iiii my ah!
nimelewa u wouwo, my ah!
nimelewa owouwouwo
Teddy B, Nimelewa