Mapenzi Gani ft. Becka Title & BX. Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Mapenzi Gani ft. Becka Title & BX. - Sam Mapesa
...
Artist :Sam Mapesa Ft Becka Title & Bx
Song :Mapenzi Gani Lyrics
Pro :Kiba Drama
Studio :Kausha Music
(Verse I) B.x Bunduki
Kama mapenzi yangekuwa biashara,
Kwako mi bonge la wala,
On time niko mbali na vicheche,
Nikiwaona acha niwateme mate,
Raha nakosa shida matatizo kila siku ni visa,
(Mapenzi Gani mbona kila siku unanitesa mi ii iii)
(Chorus) Becka Title
Mapenzi gani unanifanya mi nakosa raha eeeh,
Unanifanya mi nipandwe na kichaa eeeh,
Mapenzi Gani unanifanya mi nakosa raha eeeh,
Unanifanya mi nipandwe na kichaa eeeh,
Yo ma Queen Yo ma baby Yo ma lady first,
Mi sitaki tena kwenu mi wa nipe kesi,
Jinsi ulivyo jaa na jinsi tena unavyong'aa,
Eeh mi nadata na bamba taa.
(Bridge) Bx Bunduki
Wengi wenye upendo usaliti umejaa,
Kama shida ndo malengo zisijenipa ukichaa ma,
Aah mapenzi Ya mjiiiiini.
(Chorus) Becka Title
Mapenzi gani unanifanya mi nakosa raha eeeh,
Unanifanya mi nipandwe na kichaa eeeh,
Mapenzi Gani unanifanya mi nakosa raha eeeh,
Unanifanya mi nipandwe na kichaa eeeh,
Yo ma Queen Yo ma baby Yo ma lady first,
Mi sitaki tena kwenu mi wa nipe kesi,
Jinsi ulivyo jaa na jinsi tena unavyong'aa,
Eeh mi nadata na bamba taa.
(Verse II) Sam Mapesa
Yeah Mapenzi kama calendar,
Siku miezi miaka nikiamini Ananipenda,
Kanitosa jangwani mbele nashindwa kwenda,
Nikikumbuka moyo unazidi pata vidonda,
Homa (homa) Ndoto kichwani zinanizonga,
Nikikumbuka mbali tulipotoka Brenda,
Kupenda penda nyingi kumbe alinizuga,
Mchana kwangu usiku masela anakumega,
Ah Ametupanga kama dala dala,
Ruti yako mbezi umezuka hadi mbagala,
Una maind pay kama Mtoto wa Kichaga,
Sikujua akipendeza anakumega,
Ah nenda Salama Unapokwenda,
Nimegutuka kuwa nawe nime surrender,
Kuwa nawe zaidi maishani nasema never,
Oh sorry ma tayari yuko anayetamba.
(Chorus) Becka Title
Mapenzi gani unanifanya mi nakosa raha eeeh,
Unanifanya mi nipandwe na kichaa eeeh,
Mapenzi Gani unanifanya mi nakosa raha eeeh,
Unanifanya mi nipandwe na kichaa eeeh.
Thanks For Listen.
Please help me to Share for ur friends.