Kosa ft. Promise Nyota Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Kosa ft. Promise Nyota 🅴 - Sam Mapesa
...
(Intro) Promise Nyota
Oooooh
Mmmm huuuu
Mi ni mtoto wa udongo ukinimwagia maji mong'onyo mong'onyo
Sina ndele za ukongo
Zidisha upendo usio na kipimo
(Verse I) Sam Mapesa
Ukisitisha mapenzi utanifanya niwe crazy
Utanifanya kila saa niwaze mapenzi
Skia sauti yangu Inalia kwenye njozi
Check sometimes nakuwa kama nasiz
Mapenzi yako mi yamenifanyia uchizi
Usijeniacha kwa maneno ya ma snitch
Nashindwa kuwa free japo mwanaume rijali
Ukiniacha baby itakuwa bonge la ajali
Nalia juu yako zaidi ya mlokole na bible
Maneno ya ma snitch yasikufanye unitose
(Chorus) Promise Nyota
(Taaaaaa) Ni kosa gani
(ta ta tara tara taaa) nililotenda kwako
Rudi nyumbani (ta ta tara tara taaa) ooh ooh ooh
Ah Niskize mi miii (ta ta tara tara taaa)
Ninayethamini kila kitu chako
Oh oh mamy ooo eee (ta ta tara taraaaa)
(Verse II) Sam Mapesa
Mipango mingi wamefanya sasa wana win
Lengo lao niachane nawe mtoto Queen
Hawana lingine zaidi uniache mimi
Uende mbali hata mimi usinithamini
Queen ukiniacha utani kill
Utanicost kama mzaramo na Wali
Ukiondoka utanifanya nikose mengi
Zaidi zaidi ukweli kwako mi sihemi
Baby utanifanya nikose amani
Street nionekane ka hayawani
Umezaliwa kwa ajili yangu mamy
Usiniache we ndo wangu maishani
Nashindwa kuwa free japo mwanaume rijali
Ukiniacha baby itakuwa bonge la ajali
Nalia juu yako zaidi ya mlokole na bible
Maneno ya ma snitch yasikufanye unitose
(Chorus) Promise Nyota
(Taaaaaa) Ni kosa gani
(ta ta tara tara taaa) nililotenda kwako
Rudi nyumbani (ta ta tara tara taaa) ooh ooh ooh
Ah Niskize mi miii (ta ta tara tara taaa)
Ninayethamini kila kitu chako
Oh oh mamy ooo eee (ta ta tara taraaaa)
Artist Sam Mapesa Ft Promise Nyota
Song Kosa Official Lyrics
Album Champion EP (Bonus Track)
Prod By Promise Nyota
Studio Nyota Sound
Label Mapesa de Brand
Released 15/11/2022