Intro Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro 🅴 - Sam Mapesa
...
Bila Kupata changamoto katika maisha
Ni ngumu sana kufikia mafanikio katika malengo uliyojiwekea
Nilikutana na vikwazo vingi ila nilisimama imara na kujipa imani ipo siku ambayo MWENYEZI MUNGU ameitenga kwa ajili yangu
Pambana ongeza juhudi huku ukiamini ipo siku utafanikiwa katika hilo unalolifanya
Usikubali kuyumbishwa wala kukatishwa tamaa na mtu yeyote yule
Ni kweli hawatokupenda wote binadamu ndio kawaida yao
Yalisemwa mengi nikaziba masikio nikatia pamba
Na kuongeza juhudi nikazidi kupambana
Mwisho nikaibuka na ushindi
Yeah that's true today I'm a Champion
Artist Sam Mapesa
Song Intro Official Lyrics
Album Champion EP
Prod By Duppy Beatz
Studio Uprise Music
Label Mapesa de Brand
Released 15/11/2022