Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Number One ft Bright & Eunice 🅴 - Sam Mapesa

...

(Intro) Bright

ah hahaha uprise Music baby

Star kid

Uuuuu aaaaa aaaaa ee eeeee

uuuuuuure re re

Dupy on the Beatz


(Verse I) Sam Mapesa

Kweli number one usinitende basi Honey

Ni waukweli Ntakupenda maishani

Siwaskizi wanavyochonga akina Flani

Nishaweka dhamira we ndo wangu maishani

Mama ndugu zangu wote wanajua

Nishawaeleza we ndo nitakae kuoa

Hakuna mwingine nayempenda zaidi yako

Wote nishaachana nao mapenzi yamehamia kwako

Si utani vitu vyako ni vikali

Unanipa mapenzi matamu zaidi ya asali

Zaidi kwenye bed unavyoshek shek

Na kunisihi eti nisifunge break


(Chorus) Bright

I feel free free darling

Nipo huru kwenye penzi lako

Sijuti ii honey

Nimejitoa Mimi kuwa wako

Number One (Number one) eee

Si utani (Si utani) e eee

Number one


(Verse II) Sam Mapesa

Najua mengi washakuja kupakaza

Walishasema sana eti kwamba we Malaya

Nawakataza maskio yangu naziba

Maneno mengi wanasema umenipa limbwata

Shut up mi sitowafata

Ndo number one mwingine sitomfata

Kweli Baby kwa wengine mguu nakata

Mi naridhika sana na kiuno unavyokata

Nikiwa mbali nawe dakika mbili sina hali

Nataka kila saa tuwe tunajivinjari

True Zai hata usiku mi silali

Natamani nikuweke ndani uwe wangu mwali

Mtoto wa kimakonde usie na kasoro yoyote

Kwanzia juu mpaka chini umependeza kotekote

Na kiuno laini _______kinavyonata

Umenifanya kwenye ndoto daily mi nakuota


(Chorus) Bright

I feel free free darling

Nipo huru kwenye penzi lako

Sijuti ii honey

Nimejitoa Mimi kuwa wako

Number One (Number one) eee

Si utani (Si utani) e eee

Number one


(Bridge) Sam Mapesa & Eunice

Na nanana na na

Na nanana na na iye iye iyeee

The number one Ntakupenda maishani

Ntakulinda baby ntakulinda hata na gun

The number one Ntakupenda maishani

Ntakulinda baby ntakulinda hata na gun


(Chorus) Bright

I feel free free darling

Nipo huru kwenye penzi lako

Sijuti ii honey

Nimejitoa Mimi kuwa wako

Number One (Number one) eee

Si utani (Si utani) e eee

Number one


Artist Sam Mapesa Ft Bright & Eunice

Song Number One

Album Champion EP

Prod By Dupy Beatz

Studio Uprise Music

Label Mapesa de Brand

Released 15/11/2022

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status