Kijibwa Shoga ft. Promise Nyota Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Kijibwa Shoga ft. Promise Nyota - Sam Mapesa
...
Artist :Sam Mapesa Ft Promise Nyota
Song : Kijibwa Shoga Lyrics
Prod : Promise Nyota
Studio : Young Don Rec
Year :2012
(Verse I)
Mmmh Tulizani wewe mtu tena mtu kweli kweli,
Kumbe wewe ni kivuli ndani yake umeficha Siri,
Unajifanya kidume kumbe we ni paka shine,
Ni demu si mwanaume nipe nikutafune,
Unakula Big G Unamringishia Nani,
Kwa nyimbo za Msaga Sumu Mafumbo Unanifumbia Mimi,
Wewe Kijibwa Shoga
Wewe Kijibwa Shoga
Wewe Kijibwa Shoga
Eeeh Eeeeeeeh
(Chorus)
Ale Pakanya Pakanya Pakanya Pakanya,
Aah Aah Aah Aah
Ale Tekenya Tekenya Tekenya Tekenya,
Aah Aah Aah Aah
Ale Pakanya Pakanya Pakanya Pakanya,
Aah Aah Aah Aah
Ale Tekenya Tekenya Tekenya Tekenya,
Aah Aah Aah Aah
(Verse II)
Anasema Kwa Mikono midomo akiibinua,
Ana pepo la ngono bingwa la kusasambua,
Anasema Kwa Mikono midomo akiibinua,
Ana pepo la ngono bingwa la kusasambua,
Aaaaaa kijibwa Shoga wewe Kijibwa Shoga,
Aaaaaa kijibwa Shoga weeeeeeee,
Nawaonea huruma sana Wako wazazi,
Kwa marefu na mapana wakijua wamempata mjenzi,
Kumbe eee kumbe eee,
Kumbe eee kumbe si kitu,
Unaringa unaringa una Nini ndo misemo Yako we,
Kwa maneno ya shombo mtaani unaongea wewe,
Hata ukienda bafuni na kanga kiunoni,
Yenye fumbo kwa jirani,
Wowowo unatingisha jamani iiiiii,
Wowowo unatingisha jamani iiiiii,
Wowowo unatingisha jamani iiiiii,
Mmmh Aaah,
Kijibwa chakula kungu Ili macho alegeze,
Anacheza kwa vurugu kala mini atutege,
Anacheza kwa vurugu kala mini atutege,
Kijibwa chaota sugu akanyiki tumtengeeeeeeee,
Akanyiki tumtengeeeeeeee eeh eeh aah Aah.
(Chorus)
Ale Pakanya Pakanya Pakanya Pakanya,
Aah Aah Aah Aah
Ale Tekenya Tekenya Tekenya Tekenya,
Aah Aah Aah Aah
Ale Pakanya Pakanya Pakanya Pakanya,
Aah Aah Aah Aah
Ale Tekenya Tekenya Tekenya Tekenya,
Aah Aah Aah Aah
(Outro)
Ee kunguru asiyekuwa na Banda ee ati wanasema mjini hakuna machimbo na Yale ya Shimo la udongo,
Nyota Za Mama Classic Sam Mapesa Promise Proma Ali Mapozi Rapee Pesa
Young Don Rec
Ee zamu yetu sisi wao washapita tena
ALA karibu tena
Hii Si Tamu Nitawaongeza Na Nyingine