Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2020

This song is not currently available in your region.

Try the alternative versions below.

Lyrics

Maombi Yangu - Ali Mukhwana

...

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia


Yanaonekana mangumu, dunia

imeshindwa

Madaktari, wamejaribu pia wao

wameshindwa

Lakini, Bwana asema mimi ni mti

wa uzima.

Njooni kwangu mpate amani.

Ooh Bwana Wangu


Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia


Baba unasema watu wangu walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekeza na kuomba na kutafuta uso wangu na kuwacha njia zao mbaya.

Nitasikia kutoka mbiguni na kuwasamehe dhambi zao.

Bwana tusamehe dhambiii, za dunia

Bwana uiponye nchi yangu.

Tunaomba Bwana............



Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia


Haya magonjwa tunayoona Mungu Wangu Ooh ni kama vumbi mbele zako Ooh yatapitaaa, ni kama vumbi mbele zako Ooh yatapitaaa

yataangamia.

Tuna Imani na Wewe, tuna imaniii

Tuna Imani na Wewe, utatenda

Mungu Wangu.

Nina Imani na Wewe, nina imaniii

Bwana.

Nina Imani na Wewe, utaniponya na

kunikomboa.


Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Bwana sikia maombi yangu

Tega sikio lako uniponye

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

Pasipo na njia Unaitengeneza njia

~ THE END ~

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status