Peke Yangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Peke Yangu - Enock Bella
...
Heri niwe pekeyangu}×3
Heri niwe pekeyangu}×3. (usijeniuwaa)
Kweli uzuri sio sura maa..
Hata natabia nazochangiaa..
Nilikupa penzi kwa mikono yangu miwili wasibane nakuigiziaa..
Wataka zima penzi uondoke namshumaa..
Mbona ndio kwanza limeanza koleaa..
Nimeandaa shamba nambegu nikapanda,,waote shamba kuku kwenye mboleaa..
Eeh!eti unaondoka, unaondoka,unaondoka..
Kuishi nami wee huwezi umechoka..
Nami nimevishindwa vyako vibwekaa..
Sawaah...sawaah..
Mara ooh kwako nashoboka..
Hutaki niseme nawatu kwakukuogopa..
Umenidhalisha vyeo vingi vyaulofa..
Haiyaa..haiyaa...haiyaa..
Mboona sivyoo..sivyo tulivo kubaaliaana..
Uje unitese hadharani..hadharani..wanirudiishaa nyuumaa..
Yakuwa tukifika mbele uje kuniumiza mooyoo..
Sivyo tulivyo kubaaliaana..
Eeh! kupenda mimi baasi..wanirudisha nyuumaa..(bora iwe basi)
Mwanzoni wamazuri ila mwisho weniutoto..
Naogopa sana kutiana tumbo joto..
Bora nijitenge namwisho nile chocho,msoto unizowee..
Kwani umesahau ahadi miadi..
Yakuwa tukivuka mwaka huu ndoa..
Hivi unanini hau ndio kusudii..
sivyoTatizo sikupenda ila mazowea..
Eti.. unaondoka,unaondoka,unaondoka..
Kuishi nami wee huwezi umechoka..
Nami nimevishindwa vyako vibweka..
sawaah...sawaah..
Mara ooh! kwako nashoboka..
Hutaki niseme nawatu kwakukuogopaa..
Umenidhalisha vyeo vingi vyaulofaa..
Haiyaa..haiyaa..haiyaa..
Mboona sivyoo..sivyo tuluvyokubaliaana..
Uje unitese hadharani..hadharani wanirudisha nyuuma..
Yakuwa tukifika mbele uje kuniumiza mooyoo..
sivyo tulivyo kubaliaanaa..
Eeh! kupenda mimi baasi wanirudisha nyuuma..(bora iwe baasi)
Heri niwe pekeyangu}×3 (usijeniuwaa)
Heri niwe pekeyangu}×3 (usijeniuwaaaa)
ʰᵉʳⁱ ⁿⁱʷᵉᵖᵉᵏᵉʸᵃⁿᵍᵘ×3 usijeniuwaaaa..