Loading...

Chuma Ulete
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Chuma Ulete - Rayvanny
...
Nahisi nina bahati mbaya
kipi nilichokosea
nikijaribu kutafuta, shida ndo zinakolea
Mfukoni hali mbaya
siokwamba najitetea
ile pesa ya kusuka mbona nilikuletea
mawazo yani yananikolea nikupe nini usijepotea,nungura yani ninanyongea, lilinde penzi lisije teketea, vitungu mboga za majani laki tano kwenye genge, nyama to nikupe milioni kwani unapika chenge, sijana to nimelipa pochi na doti za vitenge, viatu juu ulivyo jumua kamaunadukwa mwenge,
chuma ulete, chuma ulete, (mwezie )
chuma ulete nisije nikakubadili jina
nikakuita chuma ulete ×2
see lyrics >>Similar Songs
More from Rayvanny
Listen to Rayvanny Chuma Ulete MP3 song. Chuma Ulete song from album Chuma Ulete is released in 2017. The duration of song is 00:03:43. The song is sung by Rayvanny.
Related Tags: Chuma Ulete, Chuma Ulete song, Chuma Ulete MP3 song, Chuma Ulete MP3, download Chuma Ulete song, Chuma Ulete song, Chuma Ulete Chuma Ulete song, Chuma Ulete song by Rayvanny, Chuma Ulete song download, download Chuma Ulete MP3 song