Yatapita Tu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Yatapita Tu - Enock Bella
...
Yelelile leleelele!!!
Binadamu Kwan Tuko Fungu Ganiiii,
Niharamu kukoseana Twajua
Sinahamu Kwa yaliyo nikuta yanii
Sinizamu Tuu Hata hubinadamu hatuna Tenaa
Niligalauka Galau Nikiomba Mungu nirejee
Mbona Wana Leta Zalau na Kesho wakiomba Nipotee
Etii Kwangu ni Chakaramu. Namfukoni Dongo Tee
Siwez shika hata Angalau na Goma Zangu zakizee
kwanini kwanini kwanini
Kwanini Umenileta Huku Kule kazinyingi zakufanya Mungu Why Umenileta Huku
Kwanini Eeeh Kwanini Eee Kwanini Umenileta Uku
Kulekazinyingi Zakufanya Mungu Why Umenileta Huku Uuu
Ningefanyaa Ataungenipa kazi Yan Ya Udeleva
Ningefanyaa
Ajalikawaida Hiyo kuteleza
Ningefanyaa
Ningelizika Nayo Hata ninge Beba
Ningefanyaa
Binadamu Ndio Tulivyo Sito Waweza Aaa
Sikutegemea Kama Huku Ninge Fika Nilizan Nitajidahi
Jamaa Yana Sikitishaaa
Manusula Nitoe Uhai YaDunia Yana Tishaaa
Kwel Binadamu Hatufaii Mbona Napigwa Vitaa Iyee
Uma Ukinishangilia Etii wana Ninunia Kumbe Upendo Wao Bandia Wao Sio Mm Naumia
Hatawale Nilio Waaminia
Wakiniona Wana Kimbia
Simu Zao Wana Nizimia Aa A-haa Naumiaaa
Kwanini Kwanini Eee Kwanini Umenileta Uku
Kulekazinyingi Zakufanya Mungu Why Umenileta Huku Uuu
Kwanini Eeeh Kwanini Eee Kwanini Umenileta Uku
Kulekazinyingi Zakufanya Mungu Why Umenileta Huku Uuu
Ningefanyaa Ataungenipa kazi Yan Ya Udeleva
Ningefanyaa
Ajalikawaida Hiyo kuteleza
Ningefanyaa
Ningelizika Nayo Hata ninge Beba
Ningefanyaa
Binadamu Ndio Tulivyo Sito Waweza Aaa
Yata Pita Tuuu
Yata Pita Tuuu hayaa
Yata Pita Tuuu Mingine Mapya Yatakuja Mbele
Yata Pita Tuuu
Yata Pita Tuuu Hayaa
Yata Pita Tuuu
Mingine Mapya Yana kuja Mbele (Nitasahau)