Usiusemee Moyo Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Usiusemee Moyo - Lady Jaydee
...
Umepika chakula huli huoni chapoaa
Umpweke mwenye moyo duni twakwita soledad
Kula dada kwani huyo haji
Eti yupona na washikaji
Na akirudi matokea yake
Ugomvi hauwishii
Uko alipo mbali na upeo wa macho yako
Atafanya baya atakalo bila idhini yako
Unangoja nakusubiri utasubiri sana
Atokeeo kwako machoni utomuona mwenzio
Uko na rafiki zako kwako nyumbani kitako
Mkipeana michapo huku mkicheka na vicheko
Wawapa habari zako
Jinsi bwana anavyokutenda
Hutojua moyo wake kwani ni vigumu kufungua moyo
Husijigambee
ye akupenda
Hujui akitoka ni nn afanyalo kwako
Yu wampenda
katu husiusemee moyo wa mwenzi wakoo
Mmelala ni usiku sana usiku wa manane
Akili yake kumbe yamuwaza kimwana mwengine
Milio ya simu na ujumbe mfupi vinazidi kwa sana
Ukimuuliza bwana kulikoni utaambiwa nistory
Nawe moyo wako punde
Unaanza kwenda mbio
Mara usiku akuwage
Kua anakwenda kutukio
Muulize ni wapi pande
Hatokujibu mwenzio
Mara na siku zingine
Simu yake iko busy nusu saa
Husijigambee
ye akupenda
Hujui akitoka ni nn afanyalo kwako
Yu wampenda
Katu husiusemee moyo wa mwenzi wakoo
Angeujali moyo wako
Hasingekuumiza huyo
Angeacha atendayo
Ili ww upate faraja
Lakini umuulizapo
Juu yeye ukujia
Athamini chozi lako
Na wala halijali hilo lako pendo
Husijigambee
ye akupenda
Hujui akitoka ni nn afanyalo kwako
Yu wampenda
katu husiusemee moyo wa mwenzi wakoo