Matozo w/ Rama Dee Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Matozo ft. Rama Dee - Lady Jaydee
...
you are in my mind ooh,
elewa mwanzo wa kiapo, kipaumbele penzi lenye matozo,
lina maumivuuu akili yetu sio ndogo, na uzuri hatuna fear love oooh kadogoo, mpenziii..
nimezama kwenye wimbi la mapenzi, sweet love
na vikoba havikutishi, hatupitishi quick love ×2
manung'uniko nami sina tena,
mkali wangu ndo basi wee
mtoto mzuri nje maji maji,
hunijia nikiwa nawee
mpenziii one love nafsi
isiwe na maradhi, mpenziii one love, habari zetu ziwafikiee..
nimezama kwenye wimbi la mapenzi, sweet love na vikoba havikutishi, hatupitishi quick love ×2
akili yetu sio ndogo, na uzuri tuna fear love oooh kadogoo,
mpenziii nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love na vikoba havikutishi, hatupitishi quick love×2