Natamani Kuwa Malaika Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Natamani Kuwa Malaika - Lady Jaydee
...
Natamani kuwa Malaika
natamani tena kurudi nyuma
natamani kuwa kama zamani
natamani kuwa kama mtoto
Natamani kuwa Malaika
natamani tena kurudi nyuma
natamani kuwa kama zamani
natamani kuwa kama mtoto
Moyo wangu mweupe kama theluji
si mawazo mabaya wala chuki duniani
tabasamu hata kwa adui kuishi bila kulipa bill
nikilia nabembelezwa sasa napendwa
nikichoka kutembea nabebwa
kila kitu mimi nafanyiwa
Malaikaaaa
Mtoto ni Malaika
Natamani kuwa Malaika
natamani tena kurudi nyuma
natamani kuwa kama zamani
natamani kuwa kama mtoto
Natamani kuwa Malaika
natamani tena kurudi nyuma
natamani kuwa kama zamani
natamani kuwa kama mtoto
Kama mimi nisingekua mkubwa
Katu nisingejua adha za dunia
Majukumu nisingefikiria
Kulala muda niloamua
Stress zisingenifika Majaribu nisingepata
Machungu nisingehisia kama leo hii nisingekuwa natamani kuwa Malaika
Malaika Ooh...
Natamani kuwa Malaika
natamani tena kurudi nyuma
natamani kuwa kama zamani
natamani kuwa kama mtoto
Natamani kuwa Malaika
natamani tena kurudi nyuma
natamani kuwa kama zamani
natamani kuwa kama mtoto
Uuuh...eeeoh...eeo
Mnasema ukubwa raha lakini mzigo mkubwa
ukubwa jalala
kila unavyozidi kua manyang'au yakutamania tamania
kukurarua
Natamani kuwa Malaika
(uuh natamani)
natamani tena kurudi nyuma
natamani kuwa kama zamani (aaah zamani)
natamani kuwa kama mtoto
malaikaa eeeiee... Malaika