Katu Katu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Katu Katu - Maua Sama
...
Baby yeeiyeee
Sama!
Uuuh uuuh...
Hitaji la moyo woo
Nifanye nini kwako ili ntimize
(eh ehee, yeiyee, eh ehee)
Kwa penzi la uchoyo
Usijipe nafado nafsi ikupende
(eh ehee, oh babe, eh ehee)
Kama umeishachoshwa nami nambie (eh eh)
Kuliko kunifanya mapenzi ni chukie (eh eh)
Nisipende mwingine mapenzi nijutie (eh eh)
Kuofia ya leo yasinirudie (eh eh)
Katu katu katu uuh
Katu katu katu ee
Katu katu katu
Penzi linikatue
Oh baby penzi umelitia doa
Na kama ni jasba sa we inabidi kukosoa
Nashindwa roho kwahaya mateso
Nikilalawi itakuwa kamchezo
Ulidanganya kumbe hunipendi bwana
Kama umeishachoshwa nami nambie (eh eh)
Kuliko kunifanya mapenzi ni chukie (eh eh)
Nisipende mwingine mapenzi nijutie (eh eh)
Kuofia ya leo yasinirudie (eh eh)
Sikuamini tena
Katu katu katu uuh
Katu katu katu ee
Katu katu katu
Penzi linikatue
Kama umeishachoshwa nami nambie (eh eh)
Kuliko kunifanya mapenzi ni chukie (eh eh)
Nisipende mwingine mapenzi nijutie (eh eh)
Kuofia ya leo yasinirudie (eh eh)
Sikuamini tena
Katu katu katu uuh
Katu katu katu ee
Katu katu katu
Penzi linikatue