Amen ft. Ben Pol Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Amen ft. Ben Pol - Maua Sama
...
aaaah aaaah aaah aaaaahh
abaaaa
Verse 1
Baby wajua leo nina furaha baby eeh
and you is all I want and I don't need someone else baby
eeh nipe nipende kipekee nitunze kwa moyo wote
nami mapenzi nikupe sikuachi hata sekunde
Hook
Na hisia zangu zakuita eh uingie moyoni nawe uwe muda wangu umulika unitoe gizani
kwasababu ni weee tu ni weee tu nimpendae ni weee tu oooh deie
kwasababu ni weee tu ni weee tu nimpendae ni weee tu wifeey
Chorus
Atubariki ameen
na atulinde ameen
atuongoze ameen
milele yote ameen
wote tuseme ameen
Verse 2
wanadhan sikufai leo wanashangaa ni siku yetu ma baby
ndoto imekua hata familia wanafurahi ma baby
hivi leo mi ni wife wote hawanidai shingoni kama tai tai tai eh
Na leo najidai heshima ulionipa ya kuwa mwenzi wako milele eh
daiima mama weh
ntakulinda mama wee
sina sababu mama weeh ya kukutenda
moyo wangu ni wako ninakukabidhi peke yako wewe
fungua wa kwako nifurahie pendo lako
Repeat Hook
Repeat Chorus
Remix killer
eh ameen ni weee ameen huu baby ameen huu baby....
abaa abaa abaaaa..