Shukurani Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Shukurani - Maua Sama
...
.......Samaaaa
...Ichokibali umenipa you know why enhee
Sina chakukulipa kwangu your the one
unajua wapo wasio nipenda LAKINI bado unanikinga
upo na mi kila nnapo kwenda hatakam noseme usizo penda
wanataman wanilaze macho amakabisa nsione amakabisa nisione nisiwe tena niljcho nacho wantangaze wanione
anhyaa anhaa ayayaya yaah
SHUKURANI kwako uzima umenipa we
SHUKURANI sana kila dakika
SHukurani baba
Shukuraniiii onhooooooo
Milango inazidi funguka na bado i am winning Nikitazam nilipotoka i am great for unanibariki Wanadhan yangu taa itazima mbon watasubil sana God make me shine like a star kila nnacho muomba ya anafanya
Wanataman wanilaze macho ama kabisa nsione nisiwetena nilicho nacho ili watangaze wanione
Anhaaaa anhaaa anhaaa nanhaa ayaya yaya
SHUKURAN KWAKO uzima umenipa we
SHUKURANI sana kila dakika
ShukuRani babaaa
SHUKURANI
Shukurani never seen this kind of love before
SHUKURANI Kwako uzima umenipa we
SHUKURAN sana kila dakik
SHUKURANI BABA
Shukurani x4......
.........